14 Agosti
tarehe
(Elekezwa kutoka Agosti 14)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Agosti ni siku ya 226 ya mwaka (ya 227 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 139.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1297 - Hanazono, mfalme mkuu wa Japani (1308-1318)
- 1740 - Papa Pius VII
- 1867 - John Galsworthy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1932
- 1929 - Matthias Joseph Isuja, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1933 - Richard Ernst, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1991
- 1954 - Agapiti Ndorobo, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1981 - Ray William Johnson, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1464 - Papa Pius II
- 1480 - Watakatifu 814 Wafiadini wa Otranto (Italia)
- 1633 - Mtakatifu Dominiko Ibáñez de Erquicia, O.P., padri kutoka Hispania na mfiadini nchini Japani
- 1941 - Mtakatifu Maximilian Kolbe, O.F.M.Conv., padri mfiadini kutoka Poland
- 1941 - Paul Sabatier, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912
- 1994 - Elias Canetti, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1981
- 2004 - Czeslaw Milosz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1980
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Maksimiliano Maria Kolbe, Ursichini wa Iliriko, Marselo wa Apamea, Eusebi wa Roma, Fahitina, Arnulfi wa Soissons, Wafiadini wa Otranto, Dominiko Ibanyez, Fransisko Shoyemon n.k.
Viungo vya nje
hariri
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |