20 Januari
tarehe
(Elekezwa kutoka Januari 20)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Januari ni siku ya ishirini ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 345 (346 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 225 - Gordian III, Kaisari wa Dola la Roma
- 1716 - Mfalme Karolo III wa Hispania
- 1873 - Johannes Vilhelm Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi,mwaka wa 1944
- 1920 - Federico Fellini, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 1925 - Ernesto Cardenal, padri, mshairi na mwanasiasa kutoka Nikaragua
- 1931 - David Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
- 1934 - Hennie Aucamp, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 1945 - Robert Olen Butler, mwandishi kutoka Marekani
- 1982 - Tiffany Mason, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 250 - Mtakatifu Papa Fabiano, mfiadini
- 1486 - Mtakatifu Eustokia Calafato, bikira Mfransisko kutoka Italia
- 1612 - Kaisari Rudolf II wa Ujerumani
- 1745 - Kaisari Karoli VII wa Ujerumani
- 1898 - Ivan Shishkin, mchoraji wa Urusi
- 1955 - Robert P. T. Coffin, mshairi kutoka Marekani
- 1994 - Jaramogi Oginga Odinga, mwanasiasa kutoka Kenya
- 2005 - Per Borten, mwanasiasa wa Norwei
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Fabiano, Sebastiano, Askla, Neofito wa Nisea, Eutimi abati, Vulfustani, Henri wa Ufini, Eustokia Calafato, Stefano Min Kuk-ka, Adelaide Brando n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |