Jimbo Katoliki la Embu
Jimbo Katoliki la Embu ni mojawapo kati ya majimbo 26 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya.
Liko chini ya jimbo kuu la Nyeri.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Embu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |