Liturujia ya Roma
Liturujia ya Roma ni liturujia iliyoenea katika sehemu kubwa ya Kanisa Katoliki, kutoka makao yake makuu, Roma (Italia).
Kwa asili yake ni liturujia ya Kilatini, ingawa kwa sasa inaadhimishwa katika lugha nyingi duniani kote.
Kilichochangia uenezi huo ni hasa heshima ya Kanisa la Roma na askofu wake, Papa.
Katika baadhi ya nchi, kama vile Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baraza la maaskofu limekubaliwa kutamadunisha liturujia hiyo, bila ya kuvunja umoja wake wa msingi.
Marejeo
hariri- Baldovin, SJ., John F., (2008). Reforming the Liturgy: A Response to the Critics. The Liturgical Press.
- Bugnini, Annibale, (1990). The Reform of the Liturgy 1948-1975. The Liturgical Press.
- A Short History of the Roman Mass. By Michael Davies Ilihifadhiwa 19 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine., said to be based on Adrian Fortescue's The Mass: A Study of the Roman Liturgy
- Metzger, Marcel. History of the Liturgy: The Major Stages. Ilitafsiriwa na Beaumont, Madeleine M. The Liturgical Press.
- Morrill,SJ, Bruce T., contributing editor. Bodies of Worship: Explorations in Theory and Practice. The Liturgical Press.
- Marini, Piero (Archbishop), (2007). A Challenging Reform: Realizing the Vision of the Liturgical Renewal. The Liturgical Press.
- Johnson, Lawrence, J. (2009). Worship in the Early Church: An Anthology of Historical Sources. The Liturgical Press.
- Foley, Edward; Mitchell, Nathan D.; and Pierce, Joanne M.; A Commentary on the General Instruction of the Roman Missal. The Liturgical Press.
Viungo vya nje
hariri- The Roman Rite (Catholic Encyclopedia)
- Australian site, mainly on present form of the Roman Rite
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Liturujia ya Roma kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |