Jimbo Kuu la Kisumu
Jimbo Kuu la Kisumu (kwa Kilatini Archidioecesis Kisumuensis) ni jimbo kuu la kanda ya Kanisa Katoliki ya Kisumu nchini Kenya.
Chini yake kuna: majimbo ya Bungoma, Eldoret, Homa Bay, Kakamega, Kisii, Kitale na Lodwar.
Uongozi
hariri- Maaskofu wakuu
- Gorgon Gregory Brandsma MHM, 1925–1935
- Nicolas Stam MHM, 1936–1948
- Frederick Hall MHM, 1948–1963
- Joannes de Reeper MHM, 1964–1976
- Philip Sulumeti, 1976–1978
- Zacchaeus Okoth, 1978–
Takwimu
haririEneo la jimbo lina kilometa mraba 6,419, ambapo kati ya wakazi 2,061,628, Wakatoliki ni 431,120 (20.9%) katika parokia 33.