9 Julai
tarehe
(Elekezwa kutoka Julai 9)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Julai ni siku ya 190 ya mwaka (ya 191 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 175.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1249 - Kameyama, mfalme mkuu wa Japani (1259-1274)
- 1578 - Kaisari Ferdinand II wa Ujerumani
- 1654 - Reigen, Mfalme Mkuu wa Japani (1663-1687)
- 1887 - Samuel Eliot Morison, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 1926 - Ben Mottelson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 1956 - Tom Hanks, mwigizaji kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1572 - Watakatifu Wafiadini wa Gorkum nchini Uholanzi
- 1727 - Mtakatifu Veronika Giuliani, bikira mmonaki wa Waklara Wakapuchini nchini Italia
- 1850 - Zachary Taylor, Rais wa Marekani (1849-1850)
- 1900 - Mtakatifu Fransisko Fogolla, O.F.M., askofu Mkatoliki kutoka Italia na mfiadini nchini Uchina
- 1900 - Mtakatifu Amadina, bikira Mfransisko kutoka Ubelgiji na mfiadini nchini Uchina
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Augustino Zhao Rong na wenzake, Nikola Pieck na wenzake, Veronika Giuliani, Yohakimu He Kaizhi, Paulina Visintainer n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |