Klausura
Klausura (kutoka Kilatini "clausura", yaani "ufungizi"; kwa Kiingereza "cloister"[1]) ni eneo la nyumba ya watawa ambamo watu wa nje hawawezi kuingia bila kutimiza masharti maalumu.
Mara nyingine katika monasteri za kike taratibu hizo zinazuia pia watawa wasitoke nje bila sababu kubwa.
Tanbihi
hariri- ↑ http://www.newadvent.org/cathen/04060a.htm Cloister in the Catholic Encyclopedia (1917)
Viungo vya nje
hariri- http://www.vatican.va/roman_curia/congregations/ccscrlife/documents/rc_con_ccscrlife_doc_13051999_verbi-sponsa_en.html Hati Verbi Sponsa
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Klausura kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |