Lituanya
Lituanya (au Lituania) ni nchi huru iliyoko Kaskazini Mashariki mwa Ulaya. Inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Lituania.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Tautos jėga vienybėje! "Nguvu ya Taifa ni Umoja!" | |||||
Wimbo wa taifa: Tautiška giesmė | |||||
Mji mkuu | Vilnius | ||||
Mji mkubwa nchini | Vilnius | ||||
Lugha rasmi | Kilituanya | ||||
Serikali | Jamhuri, serikali ya kibunge Gitanas Nausėda Ingrida Šimonytė | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitangazwa Ilikubaliwa |
16 Februari 1918 11 Machi 1990 6 Septemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
65,303 km² (ya 123) 1,35% | ||||
Idadi ya watu - 2016 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
2,859,709 (ya 141) 3,043,429 45/km² (ya 120) | ||||
Fedha | Euro (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .lt1 | ||||
Kodi ya simu | +370
- | ||||
1 Pia .eu pamoja na nchi za Umoja wa Ulaya |
Inapakana na Latvia, Belarus, Polandi na Russia.
Ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya.
Jiografia
haririLituanya iko kwenye mwambao wa Bahari ya Baltiki.
Miji mikubwa
haririHistoria
haririLituania kuanzia karne ya 13 ilikuwa nchi huru na imara iliyoteka maeneo mengi; kufikia karne ya 15, ikiwa pamoja na Polandi, ilikuwa kubwa kuliko nchi zote za Ulaya.
Mwaka 1795 nchi hizo mbili zilifutwa, na Lituania ikawa sehemu ya Dola la Urusi.
Mwaka 1918, ikawa tena nchi huru, lakini mwaka 1940 Warusi waliiteka tena.
Miaka 1940 - 1990 nchi ilikuwa jamhuri mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti.
Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Lituania ilijitangaza nchi huru.
Lituania imekuwa nchi mwanachama ya Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.
Wakazi
haririWananchi kwa asilimia 84 wanaongea Kilituania ambacho pamoja na Kilatvia ndizo lugha hai pekee za jamii ya lugha za Kibaltiki kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Ndiyo lugha rasmi.
Mbali na Walituania asili (86.7%), kuna Wapolandi (5.6%), Warusi (4.8%) na wengineo.
Dini ya wananchi ni Ukristo wa Kanisa Katoliki (77.2%), mbali ya Waorthodoksi (4.9%) na Waprotestanti (0.8%). Wasio na dini yoyote ni 6.1%.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri
- Serikali
- The Lithuanian President Ilihifadhiwa 21 Machi 2009 kwenye Wayback Machine. – Official site of the President of the Republic of Lithuania
- The Lithuanian Parliament – Official site of the Parliament of the Republic of Lithuania
- The Lithuanian Government Ilihifadhiwa 27 Juni 2021 kwenye Wayback Machine. – Official site of the Government of the Republic of Lithuania
- Chief of State and Cabinet Members Ilihifadhiwa 21 Septemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- Statistics Lithuania Ilihifadhiwa 13 Novemba 2011 kwenye Wayback Machine. – Official site of Department of Statistics to the Government of Lithuania
- Taarifa za jumla
- Lithuania entry at The World Factbook
- Lithuania Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
- Lituanya katika Open Directory Project
- Lithuania from the BBC News
- Wikimedia Atlas of Lithuania
- Lietuva.lt/en Ilihifadhiwa 1 Novemba 2014 kwenye Wayback Machine. – Lithuanian internet gates
- Key Development Forecasts for Lithuania from International Futures
- Heraldry of Lithuania
- Safari
- Lithuanian State Department of Tourism Ilihifadhiwa 25 Februari 2010 kwenye Wayback Machine.
- Travel Channel movie about Lithuanian – "Essential Lithuania 2010" Ilihifadhiwa 17 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.
- www.travel.lt – The Official Lithuanian Travel Guide
Nchi za Umoja wa Ulaya | |
---|---|
Austria | Bulgaria | Eire | Estonia | Hispania | Hungaria | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituanya | Luxemburg | Malta | Polandi | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Udeni | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lituanya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |