13 Machi

tarehe
(Elekezwa kutoka Machi 13)
Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 13 Machi ni siku ya 72 ya mwaka (ya 73 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 293.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masedoni na wenzake, Sabino wa Minya, Kristina wa Persia, Piensi, Leandri wa Sevilia, Eldrado, Roderiki na Solomoni, Ansovini n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 13 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.