18 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 18)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Mei ni siku ya 138 ya mwaka (ya 139 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 227.
Matukio
hariri- 218 - Elagabalus anatangazwa kuwa Kaisari wa Dola la Roma
- 1721 - Bakaffa anatangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kwa jina la Asma Sagad
Waliozaliwa
hariri- 1515 - Mtakatifu Feliche wa Cantalice, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini
- 1872 - Bertrand Russell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1950
- 1901 - Vincent du Vigneaud, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1955
- 1920 - Mtakatifu Papa Yohane Paulo II
- 1951 - Bernard Feringa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016
- 1955 - Chow Yun Fat, mwigizaji wa filamu kutoka Uchina
- 1981 - George Miok, mwanajeshi wa Kanada
Waliofariki
hariri- 526 - Mtakatifu Papa Yohane I
- 1587 - Mtakatifu Feliche wa Cantalice, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini
- 1721 - Dawit III, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1911 - Gustav Mahler, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 1922 - Alphonse Laveran, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1907
- 1949 - James Truslow Adams, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1981 - William Saroyan, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1940, aliyoikataa
- 2007 - Pierre de Gennes, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1991
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Yohane I, Felisi wa Split, Dioskoro wa Qais, Potamoni na wenzake, Teodoto, Tekusa na wenzao, Erik IX, Feliche wa Cantalice n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |