Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi

Majiranukta kwenye ramani: 6°10′00″S 39°15′00″E / 6.1667°S 39.2500°E / -6.1667; 39.2500

Ramani ya Unguja
Mahali pa Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi katika Tanzania
Mji wa kale kutoka juu.

Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 71000. Mikoa mitatu kati yake iko katika kisiwa cha Unguja.

Mkoa huu una wilaya mbili ambazo ndizo mjini yaani Jiji la Zanzibar na Unguja Magharibi.

Idadi ya wakazi ni 593,678; mjini wako 223,033 na Unguja Magharibi 370,645 (sensa ya mwaka 2012)[1].

MarejeoEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit 
Mikoa ya Tanzania
 
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi
  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.