Orodha ya lugha za Urusi
Orodha hii inaorodhesha lugha za Urusi:
- Kiabaza
- Kiadyghe
- Kiaghul
- Kiakhvakh
- Kialeut
- Kialeut ya Mednyj
- Kialtai ya Kaskazini
- Kialtai ya Kusini
- Kialutor
- Kiandi
- Kiaramu Mpya ya Bohtan
- Kiarchi
- Kiavar
- Kiazeri ya Kaskazini
- Kibagvalal
- Kibashkort
- Kibezhta
- Kibotlikh
- Kiburiat
- Kichamalal
- Kichechen
- Kichukchi
- Kichulym
- Kichuvash
- Kidargwa
- Kidido
- Kidolgan
- Kidomari
- Kienets ya Msituni
- Kienets ya Tambarare
- Kierzya
- Kieven
- Kievenki
- Kifini
- Kighodoberi
- Kigilyak
- Kihinukh
- Kihunzib
- Kiingrian
- Kiingush
- Kiitelmen
- Kikabardia
- Kikalmyk-Oirat
- Kikamas
- Kikarachay-Balkar
- Kikaragas
- Kikarata
- Kikareli
- Kikerek
- Kiket
- Kikhakas
- Kikhanty
- Kikhvarshi
- Kikomi
- Kikomi-Permyak
- Kikomi-Zyri
- Kikorea
- Kikoryak
- Kikumyk
- Kilak
- Kilezgi
- Kilivvi-Kareli
- Kiludi
- Kimansi
- Kimari ya Magharibi
- Kimari ya Mashariki
- Kimoksha
- Kimongoli ya Halh
- Kinanai
- Kinegidal
- Kinenets
- Kinganasan
- Kinogai
- Kioroch
- Kiorok
- Kiosseti
- Kiromani ya Vlax
- Kirusi
- Kirutul
- Kisaami ya Akkala
- Kisaami ya Kildin
- Kisaami ya Skolt
- Kisaami ya Ter
- Kiselkup
- Kiserbia
- Kishor
- Kislavoniki
- Kitabassaran
- Kitat ya Kiislamu
- Kitat ya Kiyahudi
- Kitatar
- Kitatar ya Siberia
- Kitindi
- Kitsakhur
- Kituva
- Kiudihe
- Kiudmurt
- Kiulch
- Kiveps
- Kivod
- Kiyakut
- Kiyiddish ya Mashariki
- Kiyug
- Kiyukaghir ya Kaskazini
- Kiyukaghir ya Kusini
- Kiyupik ya Naukan
- Kiyupik ya Siberia ya Kati
- Kiyupik ya Sirenik