Orodha ya mikoa ya Tanzania na Maendeleo
Hii ni Orodha ya mikoa ya Tanzania na kielelezo cha maendeleo ya binadamu kulingana na data ya mnamo mwaka 2018. [1]
Idadi | Mikoa | Maendeleo | Nchi zinazolinganishwa (2018)[2] |
---|---|---|---|
1 | Mjini Magharibi | 0.690 | Palestina |
2 | Dar es Salaam | 0.631 | Timor-Leste |
3 | Kilimanjaro | 0.613 | Bangladesh |
4 | Unguja Kusini | 0.612 | Bangladesh |
5 | Pemba Kusini | 0.577 | Kenya, Nepal |
6 | Unguja kaskazini | 0.560 | Pakistan |
7 | Iringa & Njombe | 0.554 | Visiwa vya Solomon |
Maendeleo ya chini ya binadamu | |||
8 | Tanga | 0.547 | Syria |
9 | Arusha & Manyara | 0.545 | Papua Guinea Mpya |
10 | Pemba Kaskazini | 0.543 | Papua Guinea Mpya |
11 | Ruvuma | 0.533 | Nigeria |
- | Tanzania (wastani) | 0.529 | Uganda |
12 | Morogoro | 0.525 | Mauritania |
12 | Singida | 0.525 | Mauritania |
14 | Mbeya | 0.523 | Madagaska |
15 | Mkoa wa Mara | 0.522 | Madagascar |
16 | Mkoa wa Pwani | 0.506 | Sudan |
17 | Mkoa wa Geita & Mwanza | 0.505 | Sudan |
18 | Mkoa wa Kagera | 0.501 | Haiti |
19 | Kigoma | 0.499 | Afghanistan |
20 | Lindi | 0.490 | Jibuti, Malawi |
20 | Shinyanga & Simiyu | 0.490 | Jibuti, Malawi |
22 | Mtwara | 0.488 | Malawi |
23 | Dodoma | 0.479 | Malawi |
24 | Katavi & Rukwa | 0.467 | Gambia, Guinea |
25 | Tabora | 0.464 | Liberia |