Orodha ya ziara za kichungaji za Papa Fransisko

Hii ni orodha ya ziara ya kichungaji ya Papa Fransisko.

Ziara za Papa Fransisko.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Ziara za Kimataifa hariri

2013 hariri

 
Papa Francis atembelea favela Nchini Brazil Siku ya Vijana Duniani 2013.

  Brazil (22 hadi 29 Julai 2013)

Papa Fransisko alizuru Rio de Janeiro, Brazil, Siku ya Vijana Duniani 2013. Ni ziara pekee nje ya nchi iliyokuwa katika ratiba yake kwa mwaka wa 2013.Francis alikaribishwa rasmi Brazil katika sherehe iliyofanyika katika kasri la Guanabara na kukutana na Rais Dilma Roussef.[1]. Papa aliweza kuwakutanisha wahujaji wapatao tarkibani milioni 3.5 kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu Copacabana Beach.[2]

2015 hariri

Ziara ya papa Fransisko nchini Ufilipino ya Januari 2015 ilionekana kuwa kubwa zaidi katika historia ya matukio ya papa,inakadiriwa kuwa na watu takribani milioni 6 – 7 waliohudhuria ibada ya Misa ya kuhitimisha ziara hiyo, katika mji wa Manila. Idadi hiyo inasemekana kupita ile ya watu waliohudhuria katika kongamano la vijana duniani la mwaka 1995 lililofanyika katika eneo hilo.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya ziara za kichungaji za Papa Fransisko kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.