Papua Guinea Mpya

(Elekezwa kutoka Papua Nyugini)

Papua Guinea Mpya (Independen Stet bilong Papua Niugini) ni nchi karibu na Indonesia na Australia inayokalia upande wa mashariki wa kisiwa cha Guinea Mpya pamoja na visiwa vya kandokando.

'Papua Guinea Mpya'
Papua Niugini
The Independent State of Papua New Guinea
Bendera ya Papua Guinea Mpya Nembo ya Papua Guinea Mpya
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Unity in diversity
Wimbo wa taifa: O Arise, All You Sons[1]
Lokeshen ya Papua Guinea Mpya
Mji mkuu Port Moresby
9°30′ S 147°07′ E
Mji mkubwa nchini Port Moresby
Lugha rasmi Kiingereza, Tok Pisin, Hiri Motu
Serikali Ufalme wa Kikatiba
Charles III wa Uingereza
Sir Bob Dadae
James Marape
Uhuru
Madaraka ya kujitawala
Uhuru

1 Desemba 1973
16 Septemba 1975
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
462,840 km² (ya 54)
2
Idadi ya watu
 - 2011 preliminary census kadirio
 - Msongamano wa watu
 
7,059,653 (ya 102)
15/km² (ya 201)
Fedha Kina (PGK)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
AEST (UTC+10)
(UTC+10)
Intaneti TLD .pg
Kodi ya simu +675

-


Ramani ya Papua Guinea Mpya
Wanakijiji huko Kerepunu, British New Guinea, 1885.

Nchi ni mwanachama wa Jumuia ya Madola. Mtawala ni Malkia Elizabeth II.

Mji mkuu ni Port Moresby.

Historia

hariri

Inakadiriwa kwamba watu wa kwanza walifika huko miaka 42,000-45,000 KK.[2]

Kati ya wakazi, wengi wanaishi katika mazingira asili,[3] ambayo kwa kiasi kikubwa hayajachunguzwa na wataalamu.[4]

Asilimia 18 tu wanaishi mijini.[5]

Nchini Papua Guinea Mpya kuna lugha za asili zaidi ya 800 (angalia orodha ya lugha za Papua Guinea Mpya).[6] Hiyo inaonyesha kwamba ni kati ya nchi zenye tofauti kubwa zaidi katika utamaduni.

Upande wa dini, Ukristo unafuatwa na 96% ya wakazi.[7] kati ya madhehebu, linaongoza Kanisa Katoliki (27.0%), likifuatwa na Walutheri (19.5%).

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Never more to rise". The National (6 Februari 2006). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-13. Iliwekwa mnamo 2005-01-19.
  2. O’Connell, J. F., and J. Allen. "Pre-LGM Sahul (Australia-New Guinea) and the archaeology of early modern humans." Rethinking the human revolution: new behavioural and biological perspectives on the origin and dispersal of modern humans (2007): 395-410.
  3. James, Paul; Nadarajah, Yaso; Haive, Karen; Stead, Victoria (2012). pdf download Sustainable Communities, Sustainable Development: Other Paths for Papua New Guinea. Honolulu: University of Hawaii Press. {{cite book}}: Check |url= value (help)
  4. Gelineau, Kristen. "Spiders and frogs identified among 50 new species", The Independent, 26 March 2009. Retrieved on 26 March 2009. 
  5. "World Bank data on urbanisation". World Development Indicators. World Bank. 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-03. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2005.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Papua New Guinea. Ethnologue
  7. "Papua New Guinea". International Religious Freedom Report 2003. US Department of State.

Marejeo

hariri
  • Biskup, Peter, B. Jinks and H. Nelson. A Short History of New Guinea (1970)
  • Connell, John. Papua New Guinea: The Struggle for Development (1997) online
  • Gash, Noel. A Pictorial History of New Guinea (1975)
  • Golson, Jack. 50,000 years of New Guinea history (1966)
  • Griffin, James. Papua New Guinea: A political history (1979)
  • James, Paul; Nadarajah, Yaso; Haive, Karen; Stead, Victoria (2012). pdf download Sustainable Communities, Sustainable Development: Other Paths for Papua New Guinea. Honolulu: University of Hawaii Press. {{cite book}}: Check |url= value (help)
  • Knauft, Bruce M. South Coast New Guinea Cultures: History, Comparison, Dialectic (1993) excerpt and text search
  • McCosker, Anne. Masked Eden: A History of the Australians in New Guinea (1998)
  • Mckinnon, Rowan, et al. Papua New Guinea & Solomon Islands (Country Travel Guide) (2008) excerpt and text search
  • Swadling, Pamela (1996). Plumes from Paradise. Papua New Guinea National Museum. ISBN 9980-85-103-1.
  • Waiko. John. Short History of Papua New Guinea (1993)
  • Waiko, John Dademo. Papua New Guinea: A History of Our Times (2003)
  • Zimmer-Tamakoshi, Laura. Modern Papua New Guinea (1998) online

Vyanzo

hariri
  • Jinks, Brian, ed. Readings in New Guinea history (1973)
  • Tim Flannery Throwim' Way Leg: Tree-Kangaroos, Possums, and Penis Gourds (2000) memoir excerpt and text search
  • Malinowski, Bronislaw. Argonauts of the Western Pacific: An Account of Native Enterprise and Adventure in the Archipelagoes of Melanesian New Guinea (2002) famous anthropological account of the Trobriand Islanders; based on field work in 1910s online
  • Visser, Leontine, ed. Governing New Guinea: An Oral History of Papuan Administrators, 1950–1990 (2012)
  • Whitaker, J.L. et al. eds. Documents and readings in New Guinea history: Pre-history to 1889 (1975)

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Serikali
Taarifa za jumla

Blogs, Forums, Factsheets, etc.


  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.