24 Oktoba

tarehe
(Elekezwa kutoka 24. 10.)
Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 24 Oktoba ni siku ya 297 ya mwaka (ya 298 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 68.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Antoni Maria Claret, Siriaki na Klaudiani, Proklo wa Konstantinopoli, Aretha, Senoko, Martino wa Vertou, Eberigisili, Maglori, Fromundi, Yosefu Le Dang Thi, Luiji Guanella n.k.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 24 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.