7 Januari
tarehe
(Elekezwa kutoka Januari 7)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Januari ni siku ya saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 358 (359 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1566 - Uchaguzi wa Papa Pius V
Waliozaliwa
hariri- 1502 - Papa Gregori XIII, papa kati ya miaka 1572 na 1585 († 1585), aliyeanzisha Kalenda ya Gregori
- 1800 - Millard Fillmore, Rais wa Marekani (1850-1853)
- 1844 - Mtakatifu Bernadeta Soubirous, bikira wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa
- 1916 - Fernando Sancho, mwigizaji wa filamu kutoka Hispania
- 1941 - John Walker, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 1945 - Raila Odinga, waziri mkuu wa Kenya
- 1948 - Ichiro Mizuki, mwanamuziki kutoka Japani
- 1965 - José Manuel Imbamba, askofu Mkatoliki kutoka Angola
- 1971 - Jeremy Renner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1992 - Mbwana Samatta, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1655 - Papa Innocent X
- 1920 - Edmund Barton, Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia
- 1931 - Edward Channing, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1972 - John Berryman, mshairi kutoka Marekani
- 1984 - Alfred Kastler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1966
- 1989 - Hirohito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1998 - Vladimir Prelog, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Raimundi wa Penyafort, Polieuto wa Melitene, Lusiano wa Antiokia, Valentino wa Passau, Krispino wa Pavia, Valentiniano wa Koira, Tilone, Kuro wa Konstantinopoli, Alderiko wa Le Mans, Kanuto Lavard, Yosefu Tuan n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 4 Juni 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |