8 Januari
tarehe
(Elekezwa kutoka Januari 8)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Januari ni siku ya nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 357 (358 katika miaka mirefu).
Matukio
- 1198 - Uchaguzi wa Papa Inosenti III
- 1912 - kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini Afrika Kusini ambayo ni chama kitangulizi cha ANC
Waliozaliwa
- 1556 - Mtakatifu Yosefu wa Leonesa, O.F.M.Cap., padre na mmisionari kutoka Italia
- 1867 - Emily Balch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946
- 1891 - Walther Bothe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
- 1894 - Mtakatifu Maximilian Kolbe, O.F.M.Conv., padre mfiadini kutoka Poland
- 1917 - Peter Taylor, mwandishi kutoka Marekani
- 1935 - Elvis Presley, mwimbaji kutoka Marekani
- 1965 - Michelle Forbes, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1966 - Gianfranco Chiarini, mpishi wa Italia
- 1967 - R. Kelly, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1984 - Steven Kanumba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki
- 1198 - Papa Celestino III
- 1324 - Marco Polo, mpelelezi kutoka Italia
- 1642 - Galileo Galilei, mwanaastronomia kutoka Italia
- 1997 - Melvin Calvin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1961
- 2002 - Aleksander Prokhorov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Apolinari wa Ierapoli, Theofili na Heladi, Lusiani, Masimiani na Juliani, Pasiensi wa Metz, Severino wa Noriko, Masimo wa Pavia, Joji wa Koziba, Nathalan, Erardo Mskoti, Gudula, Alberto wa Cashel, Laurenti Giustiniani n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |