Jimbo Katoliki la Arua
Jimbo Katoliki la Arua (kwa Kilatini "Dioecesis Aruaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Gulu.
Askofu wake ni Sabino Ocan Odoki.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 10,561, ambapo kati ya wakazi 2,005,000 (2012) Wakatoliki ni 928,000 (46.3%).