Jimbo Kuu la Gulu
Jimbo Kuu la Gulu (kwa Kilatini Archidioecesis Guluensis) ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa lina majimbo ya Arua na Lira na Nebbi chini yake.
Askofu mkuu wake ni John Baptist Odama.
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 27,945, ambapo kati ya wakazi 1.446.014 (2013) Wakatoliki ni 833,372 (57.6%).
Viungo vya nje
hariri- Catholic Hierarchy
- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 15 Julai 2012 kwenye Wayback Machine.