Jimbo Katoliki la Bururi
Jimbo Katoliki la Bururi (kwa Kilatini "Dioecesis Bururiensis") ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Bujumbura.
Askofu wake ni Venant Bacinoni.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 5,776, ambapo kati ya wakazi 1,256,000 (2012) Wakatoliki ni 467,000 (37.2%).