Jimbo Katoliki la Kasese
Jimbo Katoliki la Kasese (kwa Kilatini "Dioecesis Kasesensis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mbarara.
Askofu wake ni Acquirino Francis Kibira.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 3,205, ambapo kati ya wakazi 632,000 (2013) Wakatoliki ni 303,402 (48.0%).