Jimbo Katoliki la Kigoma
Jimbo katoliki la Kigoma (kwa Kilatini "Dioecesis Kigomaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 35 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Tabora.
Askofu wake ni Joseph Mlola, ALCP/OSS.
Historia
hariri- 1880: Kuanzishwa kwa Apostolic Vicariate ya Kigoma kutokana na Apostolic Vicariate ya Khartum
- 1953: Kufanywa dayosisi
Uongozi
hariri- Maaskofu wa Kigoma
- Joseph Mlola (tangu 10 Julai 2014)
- Protase Rugambwa (2008 - 2012)
- Paul Ruzoka (1989 – 2006)
- Alphonse Daniel Nsabi (1969 – 1989)
- James Holmes-Siedle MAfr (1958 – 1969)
- John van Sambeek MAfr (1953 – 1957)
- Vicar Apostolic wa Kigoma
- John van Sambeek MAfr (1946 – 1953)
- Vicar Apostolic wa Tanganjika
- John van Sambeek MAfr (1936 – 1946)
- Joseph-Marie Birraux MAfr (1920 – 1936)
- Adolphe Lechaptois MAfr (1891 – 1917)
- Léonce Bridoux MAfr (1888 – 1890)
- Jean-Baptiste-Frézal Charbonnier MAfr (1887 – 1888)
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 42,000, ambapo kati ya wakazi 1,901,000 (2006) Wakatoliki ni 456,765 (24.0%).
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kigoma kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |