Jimbo Katoliki la Kotido
Jimbo Katoliki la Kotido (kwa Kilatini "Dioecesis Kotidoensis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Tororo.
Askofu wake ni Giuseppe Filippi, M.C.C.I..
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 13,550, ambapo kati ya wakazi 383,000 (2013) Wakatoliki ni 173,460 (45.3%).