Jimbo Katoliki la Muyinga
Jimbo katoliki la Muyinga (kwa Kilatini "Dioecesis Muyingana") ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Gitega.
Askofu wake ni Joachim Ntahondereye.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 4,000, ambapo kati ya wakazi 1,537,344 (2013) Wakatoliki ni 763,035 (49.6%).