Jimbo Katoliki la Nebbi
Jimbo Katoliki la Nebbi (kwa Kilatini "Dioecesis Nebbensis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Gulu.
Askofu wake Sanctus Lino Wanok amehamishiwa Lira.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 5,098, ambapo kati ya wakazi 520,000 (2007) Wakatoliki ni 454,000 (87.3%).