Jimbo Katoliki la Singida
Jimbo katoliki la Singida (kwa Kilatini "Dioecesis Singidaensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Dodoma.
Askofu wake ni Edward Mapunda.
Historia
haririUongozi
hariri- Maaskofu wa Singida
- Edward Mapunda (tangu 2015)
- Desiderius Rwoma (1999 - 2013)
- Bernard Mabula (1972 – 1999)
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 49,341, ambapo kati ya wakazi 1,522,000 (2013) Wakatoliki ni 283,307 (15.6%).
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Singida kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |