19 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 19)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Mei ni siku ya 139 ya mwaka (ya 140 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 226.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1886 - Bernadotte Everly Schmitt, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1914 - Max Perutz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1962
Waliofariki
hariri- 804 - Alcuin Mtakatifu
- 1296 - Mtakatifu Papa Selestini V
- 1526 - Go-Kashiwabara, mfalme mkuu wa Japani (1500-1526)
- 1740 - Mtakatifu Teofilo wa Corte, padri wa shirika la Ndugu Wadogo nchini Italia
- 1750 - Mtakatifu Krispino wa Viterbo, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo nchini Italia
- 1924 - Mtakatifu Maria Bernarda Buetler, bikira Mfransisko mmisionari kutoka Uswisi
- 1946 - Booth Tarkington, mwandishi kutoka Marekani
- 1969 - Coleman Hawkins, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2009 - Robert Furchgott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Urbano I, Parteni na Kalogeri, Adolfo wa Arras, Dunstan wa Canterbury, Papa Selestini V, Ivo Helory, Teofilo wa Corte, Krispino wa Viterbo, Maria Bernarda Buetler n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |