30 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 30)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Mei ni siku ya 150 ya mwaka (ya 151 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 215.
Matukio
hariri- 1967 - Emeka Ojukwu anatangazwa kuwa rais wa Biafra inayotaka kujitenga na Nigeria
Waliozaliwa
hariri- 1908 - Hannes Alfven, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970
- 1909 - Benny Goodman, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1912 - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 1951 - Mathias Chikawe, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Sheria (2005-2010)
- 1955 - Brian Kobilka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2012
- 1973 - Leigh Francis, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
Waliofariki
hariri- 1431 - Mtakatifu Jeanne d'Arc, bikira shujaa wa uhuru wa Ufaransa
- 1640 - Peter Paul Rubens, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1778 - Voltaire, mwanafalsafa kutoka Ufaransa
- 1960 - Boris Pasternak, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1958
- 2007 - William Meredith, mshairi kutoka Marekani
- 2014 - George Tyson, mwongozaji wa filamu kutoka Kenya
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Gavino, Basili Mzee na Emelia wa Kaisarea, Anastasi wa Pavia, Dimpna, Hubati wa Liege, Ferdinando III, Yoana wa Arc, Luka Kirby, Matias Mulumba Kalemba, Yosefu Marello n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |