Mkoa wa Pemba Kaskazini
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba)
Mkoa wa Pemba Kaskazini ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Uko kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Zanzibar katika Muungano wa Tanzania. Mkoa una eneo la km2 574 na wakazi 272,091 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 [1]. Unapakana na mkoa wa Pemba Kusini tu, halafu unazungukwa na Bahari Hindi na Mfereji wa Pemba kuelekea Tanzania Bara. Makao makuu ya mkoa yako Wete.
Mkoa wa Pemba Kaskazini | |
![]() |
|
Majiranukta: 5°1′54.84″S 39°46′32.16″E / 5.0319000°S 39.7756000°E |
Tazama pia
haririTanbihi
hariri
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Pemba Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |