Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneo

nasrymayombogm


Hii ni orodha ya tawala za mikoa ya Tanzania katika mpangilio wa: *jumla ya eneo,

  • eneo la nchi kavu, na
  • eneo la maji.

Taarifa hii inalingana na uanzishwaji wa mikoa mipya minne mnamo Machi 2012, ambao umefikisha jumla ya idadi ya mikoa kuwa 31. Baada ya hapo ulianzishwa Mkoa wa Songwe wenye eneo la [[km2]] 26,595 kutokana na mkoa wa Mbeya.

Mikoa ya Tanzania - Jumla ya eneo

Tanzania Bara (Tanganyika)
(Bofya kwenye pembetatu ndogo kupanga jedwali kwa a-b-c au namba)

Nafasi Mkoa Kilomita za mraba
1 Dodoma 41,311
2 Arusha 34,516
3 Kilimanjaro 13,209
4 Tanga 27,348
5 Morogoro 73,139
6 Pwani 32,407
7 Dar es Salaam 1,393
8 Lindi 67,000
9 Mtwara 16,707
10 Ruvuma 66,477
11 Iringa 58,936
12 Mbeya 62,420
13 Singida 49,437
14 Tabora 76,151
15 Rukwa 75,240
16 Kigoma 45,066
17 Shinyanga 50,781
18 Kagera 39,627
19 Mwanza 35,187
20 Mara 31,150
21 Manyara 47,913
22 Njombe 21,347
23 Katavi 45,843
24 Simiyu 25,212
25 Geita 19,592
26 Songwe 26,595

Tanzania Visiwani (Zanzibar)

Nafasi Mkoa Kilomita za mraba
27 Unguja Kaskazini 470
28 Unguja Kusini 854
29 Unguja Mjini Magharibi 230
30 Pemba Kaskazini 574
31 Pemba Kusini 332

Eneo la nchi kavu

Nafasi Mkoa Kilomita za mraba Maili za mraba
1 Tabora 76,151 29,402
2 Morogoro 70,799 27,336
3 Rukwa 68,635 26,500
4 Lindi 67,000 25,869
5 Ruvuma 63,498 24,517
6 Mbeya 60,350 23,301
7 Iringa 56,864 21,955
8 Shinyanga 50,781 19,607
9 Singida 49,342 19,051
10 Manyara 46,359 17,899
11 Dodoma 41,311 15,950
12 Kigoma 37,037 14,300
13 Arusha 33,809 13,054
14 Pwani 32,407 12,512
15 Kagera 28,388 10,961
16 Tanga 27,348 10,351
17 Mwanza 20,095 7,759
18 Mara 19,566 7,554
19 Mtwara 16,707 6,451
20 Kilimanjaro 13,209 5,100
21 Dar es Salaam 1,393 538
22 Mkoa wa Unguja Kusini 854 330
23 Mkoa wa Pemba Kaskazini 574 222
24 Mkoa wa Unguja Kaskazini 470 181
25 Mkoa wa Pemba Kusini 332 128
26 Unguja Mjini Magharibi 230 89

Eneo la maji

Angalizo: Taarifa zinazopatikana ni za mikoa kumi na mbili tu. Mikoa mingine iliyobakia haina maziwa yenye maana au umuhimu au vyanzo vya maji.

Nafasi Mkoa Kilomita za mraba Maili za mraba Asilimia
ya Maji
1 Mwanza 15,092 5,827 42.9
2 Kagera 11,239 4,339 28.4
3 Mara 10,584 4,087 34.0
4 Kigoma 8,029 3,100 17.8
5 Rukwa 6,605 2,550 8.8
6 Ruvuma 2,979 1,150 4.5
7 Morogoro 2,340 903 3.2
8 Iringa 2,072 800 3.5
9 Mbeya 2,070 799 3.3
10 Manyara 1,554 600 3.2
11 Arusha 707 273 2.1
12 Singida 95 37 0.2

Vyanzo

Taarifa kwa ajili ya mikoa ya Tanzania bara zinatolewa na Utoaji wa Takwimu 2011, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania Ilihifadhiwa 5 Novemba 2013 kwenye Wayback Machine.. Taarifa kwa ajili ya mikoa ya Tanzania visiwani, yaani, Unguja na Pemba hutolewa na Regions of Tanzania, Statoids.

Kwa takwimu za kisasa angalia 17 Population Distribution and Average Annual Intercensal Growth Rate by Region, Tanzania, Tanzania in Figures, tovuti ya Tanzania National Bureau of Statistics

Tanbihi