Uislamu nchini Burundi

Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu nchini Burundi unasemekana kuwa na karibu asilimia tatu hadi tano ya idadi ya wananchi wa Burundi.[1]

Idadi kubwa ya Waislamu ni wa dhehebu la Sunni, ikiwa na kiasi kidogo tu cha Shia.[2]

Burundi, kikatiba ni nchi isiyoendeshwa kidini, lakini Eid ul-Fitr ni miongoni mwa sikukuu za kitaifa.[3]

Tazama piaEdit

MarejeoEdit