Uislamu nchini Ghana

Uislamu kwa nchi

Uislamu ulikuwa moja kati ya dini zenye wafuasi wengi sana nchini Ghana. Uwepo wake umeanza tangu mnamo karne ya 10 ambapo pia uliendana sawa na ufaji wa Dola la Ghana.

Leo hii idadi ya Waislamu nchini humo ni takriban asilimia 30 za wakazi wa nchi nzima ya Ghana.

Sehemu kubwa ya Waislamu wa nchini Ghana wanafuata Sunni, huku kukiwa na makadirio ya kwamba asilimia 16 ni wafuasi wa Ahmadiyya na asilimia karibia 8 ni wafuasi wa Shia.[1]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "The World's Muslims: Unity and Diversity" (PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. ku. 16, 30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri