Uislamu nchini Kamerun

(Elekezwa kutoka Uislamu nchini Cameroon)

Waislamu wapo asilimia 31 kati ya milioni 21 ya wakazi wote wa nchini Cameroon.[1]

Ikulu la sultani wa Wabamun katika Foumban, Mjini Magharibi.
Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Makadirio yanaonesha asilimia 27 wanajitambua kama wa dhehebu la Sunni, 12% Ahmadia na 3% Shia wakati kundi kubwa lililobaki halijihusishi na kundi lolote miongoni mwa hayo yaliyotajwa.[2]

MarejeoEdit

  1. * "Background Note: Cameroon". January 2008. United States Department of State. Accessed 21 February 2008.
  2. The World's Muslims: Unity and Diversity. Pew Forum on Religious & Public life (August 9, 2012). Iliwekwa mnamo August 14, 2012.