Uislamu nchini Djibouti
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Djibouti una historia ndefu, kwanza unaonekana katika Pembe la Afrika wakati wa zama za uhai wa mtume Muhammad. Leo hii, asilimia 94 ya wakazi wa Djibouti ambao wamekadiriwa kuwa 490,000 ni Sunni, wanaofuata mafundisho ya Imam Shafi'i. Baada ya uhuru, taifa lililokuwa linaanza kujijenga lilipitisha baadhi ya sheria zake zilizokuwa zinafungamana na sheria za Kiislamu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- CIA World Factbook - Djibouti Ilihifadhiwa 4 Mei 2020 kwenye Wayback Machine.
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |