Uislamu nchini Rwanda

Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu nchini Rwanda ni dini yenye wafuasi wachache mno nchini humo, inaabudiwa na watu asilimia 2 ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo - kwa sensa ya mwaka wa 2012.[1] Wako zaidi upande wa mashariki wa nchi na katika miji mikubwa. Sehemu kubwa ya Waislamu wa Rwanda ni wale wa dhehebu la Sunni.


Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Rwanda, tovuti ya muslimdemography.com, iliangaliwa Februari 2017