Uislamu ni dini ya pili duniani kwa wingi wa wafuasi. Kulingana na utafiti uliofanywa mwaka 2010 na kutolewa Januari 2011,[1][2] Waislamu ni bilioni 1.57, unachukua zaidi ya asilimia 23 ya idadi ya watu wote.[3][4][5]

Idadi ya Waislamu Dunia kwa asilimia (Pew Research Center, 2014).
Uislamu kwa nchi

Waislamu walio wengi ni wa madhehebu ya: Sunni (75–90%)[6] au Shia (10–20%).[7] Ahmadiyya wanawakilisha karibia 1% ya Waislamu wa dunia nzima.[8]

Uislamu ni dini yenye nguvu huko Mashariki ya Kati, Afrika Magharibi, Pembe la Afrika, Sahel,[1][9][10][11] na baadhi ya sehemu za Asia.[12] Baadhi ya jumuia za Kiislamu pia zinapatikana huko Uchina, Balkans, Uhindi na Urusi.[1][13]

Sehemu nyingine za dunia ambazo zina jumuia nyingi za wahamiaji wa Kiislamu ni pamoja na Ulaya ya Magharibi, kwa mfano, ambapo Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo, ambapo inawakilisha asilimia 6 ya jumla ya wakazi wote.[14]

Kulingana na ripoti ya Pew Research Center mnamo 2010 kulikuwa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi zipatazo 49.[15] Karibu asilimia 62 ya Waislamu wa duniani kote wanaishi Kusini na Kusini mashariki mwa bara la Asia, ikiwa na wafuasi zaidi ya bilioni 1.[16] Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu duniani ni Indonesia, hii peke yake inachukua asilimia 12.7 ya idadi ya Waislamu wote wa dunia, ikifuatiwa na Pakistan (11.0%), India (10.9%), na Bangladesh (9.2%).[1][17] Karibia asilimia 20 ya Waislamu wanaishi katika nchi za Kiarabu.[18] Huko Mashariki ya Kati, nchi ambazo si za Kiarabu - Uturuki na Iran - ni nchi zenye Waislamu wengi sana; huko Afrika, Misri na Nigeria zina jumuia nyingi za Kiislamu.[1][17] Utafiti huo umekuta Waislamu wengi zaidi huko Uingereza kuliko hata Lebanon na wengi zaidi huko China kuliko hata nchini Syria.[1]

Nchi hariri

Idadi zinazoonekana katika safu nne za kwanza hapo chini zinatokana na ripoti ya utafiti wa kidemografia uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew maarufu kama The Future of the Global Muslim Population, tangu 27 Januari 2011.[1][2]

Jedwali hariri

Nchi/Kanda[1] Idadi ya Waislamu
Ripoti ya Pew 2010[1]
Asilimia za Waislamu (%) nchini
Ripoti ya Pew 2010[1]
Asilimia za Waislamu nchini (%) kwa Dunia Nzima
Ripoti ya Pew 2010[1]
Idadi ya Waislamu
Vyanzo vingine
Asilimia za Waislamu (%)
Vyanzo vingine
  Afghanistan 29,047,000 99.8 1.8
  Albania 1,500,000 38.8 0.2 1,587,608 (official census)[19] 38.8%[20][21] 56.7%[19]
  Algeria 34,780,000 98.2 2.1
  American Samoa < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Andorra < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Angola 90,000 1.0 < 0.1
  Anguilla < 1,000 0.3 < 0.1
  Antigua na Barbuda < 1,000 0.6 < 0.1
  Argentina 400,000 2.5 0.1
  Armenia < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Aruba < 1,000 0.4 < 0.1
  Australia 399,000 1.9 < 0.1 476,291 (official census)[22] 2.2%[22]
  Austria 475,000 5.7 < 0.1 400-500,000[23] ~6.0%[24]
  Azerbaijan 8,795,000 98.4 0.5
  Bahamas < 1,000 0.1 < 0.1
  Bahrain 655,000 81.2 < 0.1 866,888 (official census)[25] 70.2%[25]
  Bangladesh 148,607,000 90.4 9.2
  Barbados 2,000 0.9 < 0.1
  Belarus 19,000 0.2 < 0.1
  Ubelgiji 638,000 6.0 < 0.1 628,751[26] 6.0%[26]
  Belize < 1,000 0.1 < 0.1
  Benin 2,259,000 24.5 0.1
  Bermuda < 1,000 0.8 < 0.1
  Bhutan 7,000 1.0 < 0.1
  Bolivia 2,000 < 0.1 < 0.1
  Bosnia-Herzegovina 1,564,000 41.6 0.1 45%[27]
  Botswana 8,000 0.4 < 0.1
  Brazil 35,000 0.1 < 0.1 35,167 (official census)[28]
  British Virgin Islands < 1,000 1.2 < 0.1
  Brunei 211,000 51.9 < 0.1 67%[29]
  Bulgaria 1,002,000 13.4 0.1 577,139 (official census)[30] 10%[30]
  Burkina Faso 9,600,000 58.9 0.6 60.5%[31]
  Burma (Myanmar) 1,900,000 3.8 0.1
  Burundi 184,000 2.2 < 0.1
  Cambodia 240,000 1.6 < 0.1
  Cameroon 3,598,000 18.0 0.2 20.9%[32]
  Canada 940,000 2.8 0.1 1,053,945 (official census)[33] 1.9%,[34] 3.2%[33]
  Cape Verde < 1,000 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Cayman Islands Cayman Islands < 1,000 0.2 < 0.1
  Central African Republic 403,000 8.9 < 0.1 15%[35][36]
  Chad 6,404,000 55.7 0.4
  Chile 4,000 < 0.1 < 0.1 2,894 (official census)[37] 0.03% (over 15+ pop.)[37]
  China 23,308,000 1.8 1.4 50,000,000[38]
  Colombia 14,000 < 0.1 < 0.1 40,000 to 80,000[39]
  Comoros 679,000 98.3 < 0.1
  Congo 969,000 1.4 0.1
  Cook Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Costa Rica < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Croatia 56,000 1.3 < 0.1
  Cuba 10,000 0.1 < 0.1
  Cyprus 200,000 22.7 < 0.1
  Czech Republic 4,000 < 0.1 < 0.1
  Denmark 226,000 4.1 < 0.1 210,000[40] 3.7%[40]
  Djibouti 853,000 97.0 0.1
  Dominica < 1,000 0.2 < 0.1
  Dominican Republic 2,000 < 0.1 < 0.1
  Ecuador 2,000 < 0.1 < 0.1
  Egypt 80,024,000 94.7 4.9 91%[41]
  El Salvador 2,000 < 0.1 < 0.1
  Equatorial Guinea 28,000 4.1 < 0.1
  Eritrea 1,909,000 36.5 0.1 50%[42]
  Estonia 2,000 0.1 < 0.1 1,400[43]
  Ethiopia 25,000,000 33.8 1.8 25,037,646[44] 34%
  Faeroe Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Falkland Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Federated States of Micronesia < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Fiji 54,000 6.3 < 0.1
  Finland 42,000 0.8 < 0.1
  France 4,704,000 7.5 0.3 8%-10%[45]
  French Guiana 2,000 0.9 < 0.1
Kigezo:Country data French Polynesia French Polynesia < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Gabon 145,000 9.7 < 0.1
  Gambia 1,669,000 95.3 0.1
  Georgia 442,000 10.5 < 0.1
  Germany 4,119,000 5.0 0.3 4,300,000[46] 5,4%[46]
  Ghana 3,906,000 16.1 0.2
  Gibraltar 1,000 4.0 < 0.1
  Greece 527,000 4.7 < 0.1
Kigezo:Country data Greenland Greenland < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Grenada < 1,000 0.3 < 0.1
Kigezo:Country data Guadeloupe Guadeloupe 2,000 0.4 < 0.1
Kigezo:Country data Guam Guam < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Guatemala 1,000 < 0.1 < 0.1
  Guinea 8,693,000 84.2 0.5
  Guinea Bissau 705,000 42.8 < 0.1 50%[47]
  Guyana 55,000 7.2 < 0.1
  Haiti 2,000 < 0.1 < 0.1
[[File:|22x20px|border |alt=Honduras|link=Honduras]] Honduras 11,000 0.1 < 0.1
  Hong Kong 91,000 1.3 < 0.1
  Hungary 25,000 0.3 < 0.1 5,579 (official census)[48]
  Iceland < 1,000 0.1 < 0.1 770[49] 0.24%[49]
  India 177,286,000 14.6 10.9
  Indonesia 204,847,000 88.1 12.7
  Iran 74,819,000 99.7 4.6
  Iraq 31,108,000 98.9 1.9
  Ireland 43,000 0.9 < 0.1
  Isle of Man < 1,000 0.2 < 0.1
  Israel 1,287,000 17.7 0.1
  Italia 1,583,000 2.6 0.1 825,000[24] 1.4%[24]
  Ivory Coast 7,960,000 36.9 0.5 40%[50][51][52]
  Jamaica 1,000 < 0.1 < 0.1
  Japan 185,000 0.1 < 0.1
  Jordan 6,397,000 98.8 0.4
  Kazakhstan 8,887,000 56.4 0.5 70.2% (official census)[53]
  Kenya 2,868,000 7.0 0.2 10%[54]
  Kiribati < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Kosovo 2,104,000 91.7 0.1 1,584,000[55]
  Kuwait 2,636,000 86.4 0.2
  Kyrgyzstan 4,927,000 88.8 0.3
  Laos 1,000 < 0.1 < 0.1
  Latvia 2,000 0.1 < 0.1
  Lebanon 2,542,000 59.7 0.2
  Lesotho 1,000 < 0.1 < 0.1
  Liberia 523,000 12.8 < 0.1
  Libya 6,325,000 96.6 0.4
  Liechtenstein 2,000 4.8 < 0.1
  Lithuania 3,000 0.1 < 0.1
  Luxembourg 11,000 2.3 < 0.1
Kigezo:Country data Macau Macau < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Masedonia Kaskazini 713,000 34.9 < 0.1
  Madagascar 220,000 1.1 < 0.1 7%[56]
  Malawi 2,011,000 12.8 0.1
  Malaysia 17,139,000 61.4 1.1
  Maldives 309,000 98.4 < 0.1
  Mali 12,316,000 92.4 0.8
  Malta 1,000 0.3 < 0.1
  Marshall Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Martinique Martinique < 1,000 0.2 < 0.1
  Mauritania 3,338,000 99.2 0.2
  Mauritius 216,000 16.6 < 0.1
  Mayotte 197,000 98.8 < 0.1
  Mexico 111,000 0.1 < 0.1 3,700 (official census)[57]
  Moldova 15,000 0.4 < 0.1
  Monaco < 1,000 0.5 < 0.1
  Mongolia 120,000 4.4 < 0.1
  Montenegro 116,000 18.5 < 0.1 118,477 [58] 19.11% [58]
Kigezo:Country data Montserrat Montserrat < 1,000 0.1 < 0.1
  Moroko 32,381,000 99.9 2.0 99%[59]
  Mozambique 5,340,000 22.8 0.3
  Namibia 9,000 0.4 < 0.1
  Nauru < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Nepal 1,253,000 4.2 0.1
  Netherlands 914,000 5.5 0.1 5.8%[60]
Kigezo:Country data Netherlands Antilles Netherlands Antilles < 1,000 0.2 < 0.1
Kigezo:Country data New Caledonia New Caledonia 7,000 2.8 < 0.1
  New Zealand 41,000 0.9 < 0.1
  Nicaragua 1,000 < 0.1 < 0.1
 
Niger
15,627,000 98.3 1.0
  Nigeria 75,728,000 47.9 4.7 85,000,000 50%
Kigezo:Country data Niue Niue < 1,000 < 0.1 < 0.1
  North Korea 3,000 < 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Northern Mariana Islands Northern Mariana Islands < 1,000 0.7 < 0.1
  Norway 144,000 3.0 < 0.1 163,180 in 2008[61]
  Oman 2,547,000 87.7 0.2
  Pakistan 178,097,000 96.4 11.0
  Palau < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Palestine 4,298,000 97.5 0.3 3,500,000 99.3% (Gaza Strip),[62] 75% (West Bank)[63]
  Panama 25,000 0.7 < 0.1
  Papua New Guinea 2,000 < 0.1 < 0.1
  Paraguay 1,000 < 0.1 < 0.1
  Peru < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Philippines 4,737,000 5.1 0.3 10,300,000 (2012)[64] 5% (2000) to 11% (2012)[64]
Kigezo:Country data Pitcairn Islands Pitcairn Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Poland 20,000 0.1 < 0.1
  Portugal 65,000 0.6 < 0.1
Template loop detected: Kigezo:Country data Puerto Rico Puerto Rico 1,000 < 0.1 < 0.1
  Qatar 1,168,000 77.5 0.1
Kigezo:Country data Republic of Congo Republic of Congo 60,000 1.6 < 0.1
Kigezo:Country data Reunion Reunion 35,000 4.2 < 0.1
  Romania 73,000 0.3 < 0.1
  Russia 16,379,000 11.7 1.0 11.7%[65]
  Rwanda 188,000 1.8 < 0.1
  St. Helena < 1,000 < 0.1 < 0.1
  St. Kitts na Nevis < 1,000 0.3 < 0.1
  St. Lucia < 1,000 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Saint Pierre and Miquelon St. Pierre and Miquelon < 1,000 0.2 < 0.1
  St. Vincent na Grenadines 2,000 1.7 < 0.1
  Samoa < 1,000 < 0.1 < 0.1
  San Marino < 1,000 < 0.1 < 0.1
  São Tomé na Príncipe < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Saudi Arabia 25,493,000 97.1 1.6
  Senegal 12,333,000 95.9 0.8
  Serbia 280,000 3.7 < 0.1
  Shelisheli < 1,000 1.1 < 0.1
  Sierra Leone 4,171,000 71.5 0.3
  Singapore 721,000 14.9 < 0.1
  Slovakia 4,000 0.1 < 0.1
  Slovenia 49,000 2.4 < 0.1
  Solomon Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Somalia 9,231,000 98.6 0.6 99.9%[66][67][68][69][70]
  South Africa 110,000 1.5 < 0.1
  South Korea 35,000 0.2 < 0.1
  South Sudan
  Spain 1,021,000 2.3 0.1 1,000,000[24] 2.3%[24]
  Sri Lanka 1,725,000 8.5 0.1 1,967,227 (official census)[71] 9.71[71]
  Sudan 30,855,000 71.4[72] 1.9 97.0% (only the Republic of Sudan)[73]
  Suriname 84,000 15.9 < 0.1 19.6%[74]
  Swaziland 2,000 0.2 < 0.1
  Sweden 451,000 4.9 < 0.1 450-500,000[75] ~5%[75]
  Switzerland 433,000 5.7 < 0.1 400,000[76] 5%[76]
  Syria 20,895,000 92.8 1.3
  Taiwan 23,000 0.1 < 0.1 60,000[77] 0.3%[78]
  Tajikistan 7,006,000 99.0 0.4
  Tanzania 13,450,000 29.9 0.8 35%[79]
  Thailand 3,952,000 5.8 0.2
  Timor-Leste 1,000 0.1 < 0.1
  Togo 827,000 12.2 0.1 20%[80]
Kigezo:Country data Tokelau Tokelau < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Tonga < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Trinidad na Tobago 78,000 5.8 < 0.1
  Tunisia 10,349,000 99.8 0.6
  Turkey 74,660,000 98.6 4.6 96.4[81] - 76%[82]
  Turkmenistan 4,830,000 93.3 0.3
Kigezo:Country data Turks and Caicos Islands Turks and Caicos Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Tuvalu < 1,000 0.1 < 0.1
  Uganda 3,700,000 12.0 0.3
  Ukraine 393,000 0.9 < 0.1 2,000,000[83]
  United Arab Emirates 3,577,000 76.0 0.2
  United Kingdom 2,869,000 4.6 0.2 2,422,000[84] 2.4%[24]
  United States 2,595,000 0.8 0.2 6,000,000-7,000,000[85]
Kigezo:Country data United States Virgin Islands U.S. Virgin Islands < 1,000 0.1 < 0.1
  Uruguay < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Uzbekistan 26,833,000 96.5 1.7
  Vanuatu < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Vatikani 0 0 0
  Venezuela 95,000 0.3 < 0.1
  Vietnam 63,146 0.2 < 0.1 71,200[86]
Kigezo:Country data Wallis and Futuna Wallis na Futuna < 1,000 < 0.1 < 0.1
  Western Sahara 528,000 99.6 < 0.1
  Yemen 24,023,000 99.0 1.5
  Zambia 15,000 0.4 < 0.1
  Zimbabwe 50,000 0.9 < 0.1
Kusini na Kusinimashariki mwa Asia 1,005,507,000 24.8 62.1
Mashariki ya Kati-Afrika Magharibi 321,869,000 91.2 19.9
Afrika Kusini kwa Sahara 242,544,000 29.6 15.0
Ulaya 44,138,000 6.0 2.7
Amerika 5,256,000 0.6 0.3
Idadi ya Dunia Nzima 1,619,314,000 23.4 100.0

Marejeo hariri

  1. 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 "Muslim Population by Country". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 December 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 "Preface", The Future of the Global Muslim Population (Pew Research Center) 
  3. "Executive Summary". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 December 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Christian Population as Percentages of Total Population by Country". Global Christianity. Pew Research Center. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 22 December 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Turmoil in the world of Islam". Deccan Chronicle. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. Tazama:
  7. See
    • Breach of Faith. Human Rights Watch. June 2005. uk. 8. Iliwekwa mnamo March 29, 2014. Estimates of around 20 million would be appropriate  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
    • Larry DeVries, Don Baker, and Dan Overmyer. Asian Religions in British Columbia. University of Columbia Press. ISBN 978-0-7748-1662-5. Iliwekwa mnamo March 29, 2014. The community currently numbers around 15 million spread around the world  Check date values in: |accessdate= (help)
    • Juan Eduardo Campo. Encyclopedia of Islam. uk. 24. ISBN 0-8160-5454-1. Iliwekwa mnamo March 29, 2014. The total size of the Ahmadiyya community in 2001 was estimated to be more than 10 million  Check date values in: |accessdate= (help)
    • "Ahmadiyya Muslims". pbs.org. Iliwekwa mnamo 6 October 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
    • A figure of 10-20 million represents approximately 1% of the Muslim population.
  8. "Region: Middle East-North Africa". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 December 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  9. "Region: Sub-Saharan Africa". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 December 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  10. Encyclopædia Britannica. Britannica Book of the Year 2003. Encyclopædia Britannica, (2003) ISBN 978-0-85229-956-2 p.306
    According to the Encyclopædia Britannica, as of mid-2002, there were 376,453,000 Christians, 329,869,000 Muslims and 98,734,000 people who practiced traditional religions in Africa. Ian S. Markham, (A World Religions Reader. Cambridge, MA: Blackwell Publishers, 1996.) is cited by Morehouse University as giving the mid-1990s figure of 278,250,800 Muslims in Africa, but still as 40.8% of the total population. These numbers are estimates, and remain a matter of conjecture. See Amadu Jacky Kaba. The spread of Christianity and Islam in Africa: a survey and analysis of the numbers and percentages of Christians, Muslims and those who practice indigenous religions. The Western Journal of Black Studies, Vol 29, Number 2, June 2005. Discusses the estimations of various almanacs and encyclopedium, placing Britannica's estimate as the most agreed figure. Notes the figure presented at the World Christian Encyclopedia, summarized here Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine., as being an outlier. On rates of growth, Islam and Pentecostal Christianity are highest, see: The List: The World’s Fastest-Growing Religions Archived 21 Mei 2007 at the Wayback Machine., Foreign Policy, May 2007.
  11. Britannica Archived 19 Agosti 2008 at the Wayback Machine., Think Quest Archived 17 Februari 2010 at the Wayback Machine., Wadsworth.com Archived 14 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
  12. Secrets of Islam, U.S. News & World Report. Information provided by the International Population Center, Department of Geography, San Diego State University (2005).
  13. See:
  14. "Muslim-Majority Countries". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 December 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  15. "Region: Asia-Pacific". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 December 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  16. 17.0 17.1 "Number of Muslim by country". nationmaster.com. Iliwekwa mnamo 2007-05-30. 
  17. See:
    • Esposito (2002b), p.21
    • Esposito (2004), pp.2,43
  18. 19.0 19.1 "Albanian census 2011". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-30. Iliwekwa mnamo 2015-04-14. 
  19. "Albania". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 2010-06-05.  Unknown parameter |= ignored (help)
  20. "Religious Freedom-Albania". The Religious Freedom Page. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-30. Iliwekwa mnamo 27 January 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  21. 22.0 22.1 "Reflecting a Nation: Stories from the 2011 Census, 2012–2013". Australian Bureau of Statistics.
  22. "How many Muslims live in Austria?". Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  23. 24.0 24.1 24.2 24.3 24.4 24.5 "Muslims in Europe: Country guide", BBC News, 2005-12-23. 
  24. 25.0 25.1 "General Tables Census of Bahrain". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-08. Iliwekwa mnamo 2015-04-14. 
  25. 26.0 26.1 "In België wonen 628.751 moslims". Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  26. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Bosnia and Herzegovina". Refworld. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  27. [1] Census 2010
  28. "The World Factbook". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-12. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  29. 30.0 30.1 "Census 2011". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-27. Iliwekwa mnamo 2015-04-14. 
  30. "The World Factbook". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-06. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Unknown parameter |= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  31. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Cameroon". Refworld. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  32. 33.0 33.1 National Household Survey (NHS) Profile, 2011 - Option 2: Select from a list. Statistics Canada.
  33. "Canada". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-30. Iliwekwa mnamo 2010-06-22. 
  34. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Central African Republic". Refworld. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  35. "The World Factbook". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  36. 37.0 37.1 "Chile 2002 census database". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-29. Iliwekwa mnamo 2015-04-14. 
  37. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - China (includes Tibet, Hong Kong, Macau)". Refworld. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  38. "Colombia’s religious minorities: the growing Muslim community". Colombia News - Colombia Reports. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  39. 40.0 40.1 "Denmark". U.S. Department of State. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  40. Religion Statistics > Islam > Percentage Muslim (most recent) by country
  41. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2009 Report on International Religious Freedom - Eritrea". Refworld. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-17. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  42. "ISLAM.EE". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-11. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  43. Population and Housing Census Report-Country - 2007, Central Statistical Agency, 2010-07 Archived 10 Februari 2016 at the Wayback Machine., Table 3.3. (Last accessed 30 October 2014)
  44. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - France". Refworld. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  45. 46.0 46.1 "Studie: Deutlich mehr Muslime in Deutschland". DW.DE. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  46. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Guinea-Bissau". Refworld. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  47. Hungarian census 2011
  48. 49.0 49.1 "Populations by religious organizations 1998-2013". Reykjavík, Iceland: Statistics Iceland. 
  49. "Fun facts and information on Cote d'Ivoire". Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  50. "The religious and ethnic faultlines in Ivory Coast". ReliefWeb. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  51. "RELIGION-COTE D'IVOIRE: Women Seek More Leadership Roles". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-11-09. Iliwekwa mnamo 2015-04-14. 
  52. "The results of the national population census in 2009". Agency of Statistics of the Republic of Kazakhstan. 12 November 2010. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 21 January 2010.  Unknown parameter |= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  53. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2008 Report on International Religious Freedom - Kenya". Refworld. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  54. "Kosovo". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 2009-07-24. 
  55. "The World Factbook". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-25. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  56. Instituto Nacional de Estadística y Geografía (2010). "Censo de Población y Vivienda 2010 — Cuestionario básico". INEGI. Iliwekwa mnamo 4 March 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  57. 58.0 58.1 http://www.monstat.org/userfiles/file/popis2011/saopstenje/saopstenje(1).pdf
  58. "The World Factbook". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-26. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Unknown parameter |= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  59. "Netherlands". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-05-21. Iliwekwa mnamo 2010-06-22. 
  60. "Tabell 2 Innvandrere og norskfødte med innvandrerforeldre fra land der islam er hovedreligion, etter landbakgrunn. 1980, 1990, 2000 og 2008". Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  61. "Gaza Strip". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-06-08. Iliwekwa mnamo 2010-06-05. 
  62. "West Bank". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-06-05. 
  63. 64.0 64.1 "Philippines". 2012 Report on International Religious Freedom. U.S. Department of State. May 20, 2013. Section I. Religious Demography.  Check date values in: |date= (help)
  64. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - USCIRF Annual Report 2006 - The Russian Federation". Refworld. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-17. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  65. Mohamed Diriye Abdullahi, Culture and Customs of Somalia, page 55
  66. Harm De Blij, Why Geography Matters: More Than Ever page 202
  67. Yoel Natan, Moon-o-theism, Volume I of II page 299
  68. Christopher Daniels, Somali Piracy and Terrorism in the Horn of Africa, page 111
  69. Shaul Shay, Somalia Between Jihad and Restoration page 107
  70. 71.0 71.1 "A3 : Population by religion according to districts, 2012". Department of Census & Statistics, Sri Lanka. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-07. Iliwekwa mnamo 2015-04-14. 
  71. pamoja na Sudan Kusini
  72. "Sudan Overview". http://www.sd.undp.org/. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-05. Iliwekwa mnamo 2013-04-02. 
  73. "The World Factbook". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-07. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  74. 75.0 75.1 "Sweden". U.S. Department of State. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  75. 76.0 76.1 "Minaret debate angers Swiss muslims". euronews. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  76. "- Taiwan Government Entry Point". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-23. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  77. "Halal Restaurants & Food in Taiwan - Crescentrating". Crescentrating. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-30. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  78. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Tanzania". Refworld. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  79. "The World Factbook". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 14 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  80. "Country - Turkey". Joshua Project. Iliwekwa mnamo 27 April 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  81. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-23. Iliwekwa mnamo 2015-04-14. 
  82. "Ислам в Украине". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-05. Iliwekwa mnamo 2015-04-14. 
  83. Kerbaj, Richard. "Muslim population rising 10 times faster than rest of society", The Times, 2009-01-30. 
  84. About Islam and American Muslims Archived 2 Aprili 2015 at the Wayback Machine.. Council on American-Islamic Relations (Washington, D.C.)
  85. Muslim Population in Asia: 1950 – 2020

Viungo vya nje hariri