Uislamu nchini Zambia

Uislamu kwa nchi

Ujio wa Uislamu nchini Zambia unarudi nyuma kabisa katika karne ya Hijri ya nne wakati Waislamu wanaanzisha imarati katika pwani ya Afrika Mashariki. Katika zama hizo wafanyabiasha wa Kiislamu walipanua biashara zao hadi maeneo ya ndani na kufikia Zambia katika zama za nasaba ya Omani Al Bu Said. Wafanyabiashara Waarabu waliingia Zambia kutoka katika makao yao makuu ya biashara katika pwani ya Tanzania, Malawi na Msumbiji. [1]

Msikiti huko Lusaka

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri