Uislamu nchini Malawi
Uislamu nchini Malawi ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo.
Uislamu kwa nchi |
Karibia Waislamu wote wa Malawi ni wafuasi wa dhehebu la Sunni.[1]Japokuwa ni vigumu kukadiria,[2] kwa mujibu wa CIA Factbook, mnamo mwaka wa 2008 karibia asimilia 12.8 ya idadi ya wakazi nchini humo ni Waislamu;[3] kiasi kidogo kama hicho kimekataliwa na jumuia za Kiislamu nchini humo,[4] ambao wamelalamikia ya kwamba kiasi halisi ni asilimia 30-35 (ambacho kilielezewa kama "fikra za kujitakia").[5]
Kwa mujibu wa Mradi wa Dini wa Malawi[6] unaoendeshwa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania, mnamo 2010 makadirio ya idadi ya Waislamu ilikuwa asilimia 25, imetazamiwa hasa katika maeneo ya Mkoa wa Kusini.[7]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Klaus Fiedler (2015). Conflicted Power in Malawian Christianity: Essays Missionary and Evangelical from Malawi (tol. la illustrated). Mzuni Press. ku. 180–1. ISBN 9789990802498.
- ↑ Arne S. Steinforth (2009). Troubled Minds: On the Cultural Construction of Mental Disorder and Normality in Southern Malawi. Peter Lang. uk. 79. ISBN 9783631587171.
- ↑ "CIA statistics". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 2016-05-12.
- ↑ Owen J. M. Kalinga (2012). Historical Dictionary of Malawi (tol. la revised). Rowman & Littlefield. uk. 202. ISBN 9780810859616.
- ↑ Klaus Fiedler (2015). Conflicted Power in Malawian Christianity: Essays Missionary and Evangelical from Malawi (tol. la illustrated). Mzuni Press. uk. 213. ISBN 9789990802498.
- ↑ "The Malawi Religion Project (MRP) | Malawi Longitudinal Study of Families and Health (MLSFH)". Malawi.pop.upenn.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ HANS-PETER KOHLER. "Cohort Profile: The Malawi Longitudinal Study of Families and Health (MLSFH)". Repository.upenn.edu. Iliwekwa mnamo 2016-02-09.
Jisomee zaidi
hariri- Ian D. Dicks (2012). An African Worldview: The Muslim Amacinga Yawo of Southern Malaŵi. African Books Collective. uk. 510. ISBN 9789990887518.
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |