Uislamu nchini Misri
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Misri ndiyo dini kubwa nchini ikiwa na wafuasi wapatao milioni 80.
Idadi hii inabeba asilimia 94.7 ya wakazi wote wa nchini humo na hiyo ni kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka wa 2010.[1][2]
Karibia Waislamu wa nchi nzima ni wafuasi wa madhehebu ya Wasunni,[3] kukiwa na idadi kiasi ya Shia na Ahmadia.[4]
Tangu mwaka 1980, Misri huhesabiwa kama taifa la kidini ijapokuwa haijatambulika rasmi.[5]
Marejeo
hariri- ↑ The Future of the Global Muslim Population - Egypt Pew Forum.
- ↑ Mapping the Global Muslim Population Archived 19 Mei 2011 at the Wayback Machine. Pew Forum. 2009. pp.5.
- ↑ "Egypt from "The World Factbook"". American Central Intelligence Agency (CIA). 4 Septemba 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-26. Iliwekwa mnamo 2015-07-10.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Mohammad Hassan Khalil. Between Heaven and Hell: Islam, Salvation, and the Fate of Others. Oxford University Press. uk. 297. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2014.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "An Independent Voice for Egypt's al-Azhar?". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-06. Iliwekwa mnamo 2015-07-10.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |