Uislamu nchini Chad

Uwepo wa awali kabisa wa Uislamu nchini Chad unaweza kuufuatilia tangu enzi za Uqba ibn Nafi, ambaye kizazi chake kinaweza patikana katika makazi yao ya leo huko katika mkoa wa Ziwa Chad.[1] Kwa kipindi ambacho wahamiaji wa Kiarabu wanaanza kufika kutoka mashariki katika karne ya 14 wakiwa katika idadi ndogo kabisa, imani ilikuwa tayari ishajijenga vya kutosha. Uislamishaji nchini Chad ulikuwa unafanyika polepole, tokeo la uenezi mdogo wa ustaarabu wa Uislamu ulikuwa nje kabisa ya mipaka ya kisiasa.[2] Leo hii Wachadi wengi ni Waislamu (55.7%), ambao wengi wao ni dhehebu la Sunni wa Maliki.[3]

Msikiti huko Abéché, Chad
Uislamu kwa nchi

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Africa to 1500 by Sanderson Beck
  2. Library of Congress., and Thomas Collelo. Chad, a country study. 2nd ed. Washington D.C.: Federal Research Division Library of Congress  ;For sale by the Supt. of Docs. U.S. G.P.O, 1990.
  3. "The World's Muslims: Unity and Diversity" (PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo Agosti 14, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)