Uislamu katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo

Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu umepata kuwepo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu karne ya 18, wakati wafanyabiashara wa Kiarabu kutoka Afrika ya Mashariki walipo lazimika kuingia ndanindani kabisa kwa lengo la kufanya biashara ya pembe za ndovu. Kulingana na ripoti ya kitabu cha CIA, Waislamu ni asilimia 10 tu ya wakazi wote wa Kongo.[1] Hata hivyo, makadirio ya kweli yalifanywa na Pew Research Project wakiwa wamepata asilimia 1.5 tu.[2]

Kibao cha Quran kutoka DRC.

Waislamu wengi wa Kongo ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafunzo ya imam Maliki, asilimia 10 Washia na asilimia 6 nia Ahmadia.[3]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. CIA World Factbook: DR Congo
  2. Pew Research: Table: Religious Composition by Country, in Percentages
  3. The World's Muslims: Unity and Diversity. Pew Forum on Religious & Public life (August 9, 2012). Iliwekwa mnamo August 14, 2012.