Uislamu nchini Mauritius

Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu nchini Mauritius na taasisi zake unakadiriwa kuwa asilimia 17.3 ya idadi yote ya wakazi nchini humo.[1]

Waislamu wengi wa Mauritius ni wale wenye asili ya India; hata hivyo, kuna idadi kubwa inayoongezeka hasa ya wale wanaobadili dini na kwenda Uislamu katika idadi ya jamii ijulikanayo kama Kreole na wengine kutoka Sino vilevile wale wenye asili ya Kichina. Ubadilishaji huu umesukuma jumuia za Kiislamu na kupanua wigo wa utamaduni wake.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Resident population by religion and sex. Statistics Mauritius. Iliwekwa mnamo 1 November 2012.

Viungo vya njeEdit