Uislamu nchini Ivory Coast

Msikiti wa taifa mjini Marcory.
Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Waislamu wamo kwenye asilimia 38.6 ya idadi yote ya wakazi wa nchini Ivory Coast.[1] In Ivory Coast, Waslamu wanasali, wanafunga, na kutoa sadaka kama inavyohitajika na mafunzo ya Kiislamu, na walio wengi huenda hija na imefanywa kama kiada. Waislamu walio wengi wa Kiivoiri ni dhehebu la Sunni, wanaofuata mafundisho ya Imam Maliki.[2][3][4]

PichaEdit

Tazama piaEdit

MarejeoEdit