12 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 12)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Aprili ni siku ya 102 ya mwaka (ya 103 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 263.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 959 - En'yu, mfalme mkuu wa Japani (969-984)
- 1884 - Otto Meyerhof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1922
- 1942 - Jacob Zuma, Rais wa Afrika Kusini
Waliofariki
hariri- 238 - Gordian I, Kaisari wa Dola la Roma aliuawa
- 238 - Gordian II, Kaisari wa Dola la Roma aliuawa
- 352 - Mtakatifu Papa Julius I
- 1945 - Franklin D. Roosevelt, Rais wa Marekani (1933-1945)
- 1947 - Louis Leipoldt, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1971 - Igor Tamm, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 1984 - Edward Sokoine, Waziri Mkuu wa Tanzania (1977-1980, 1983-1984)
- 1988 – Alan Paton, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1991 - James Schuyler, mshairi kutoka Marekani
- 1997 - George Wald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Visia, Papa Julius I, Zeno wa Verona, Saba Mgoti, Konstantino wa Gap, Damiano wa Pavia, Bazili wa Pario, Ekembodo, Alferi, Teresa wa Yesu wa Los Andes, Yosefu Moscati, Daudi Uribe n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |