9 Februari
tarehe
(Elekezwa kutoka Februari 9)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Februari ni siku ya arubaini ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 325 (326 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1621 - Uchaguzi wa Papa Gregori XV
- 1863 - Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu inaanzishwa
Waliozaliwa
hariri- 1773 - William Henry Harrison, Rais wa Marekani (1841)
- 1874 - Amy Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 1910 - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1940 - John Maxwell Coetzee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2003
- 1943 - Squire Fridell, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1944 - Alice Walker, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1983
- 1945 - Yoshinori Ohsumi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2016
- 1956 - Chenjerai Hove, mwandishi kutoka Zimbabwe
- 1985 - Emmanuel Adebayor, mchezaji wa mpira kutoka Togo
Waliofariki
hariri- 1881 - Fyodor Dostoyevski, mwandishi Mrusi
- 1994 - Howard Temin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1975
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Apolonia wa Aleksandria, Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria, Primo na Donato, Maroni, Teilo, Sabino wa Canosa, Ansberto wa Rouen, Alto, Rinaldo wa Nocera, Mikaeli Febres n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 23 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |