3 Januari
tarehe
(Elekezwa kutoka Januari 3)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Januari ni siku ya tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 362 (363 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1521 - Papa Leo X anamtenga padri Martin Luther na Kanisa Katoliki
Waliozaliwa
hariri- 1196 - Tsuchimikado, mfalme mkuu wa Japani (1198-1210)
- 1694 - Mtakatifu Paulo wa Msalaba, padri mwanzilishi wa shirika la Wapasionisti kutoka Italia
- 1886 - John Gould Fletcher, mwandishi na mshairi kutoka Marekani
- 1892 - J.R.R. Tolkien, mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete
- 1911 - John Sturges, mwongozaji filamu wa Marekani
- 1929 - Sergio Leone, muongozaji wa filamu kutoka Italia
- 1956 - Mel Gibson, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
- 1970 - Boay Akonay, mwanariadha wa Tanzania
Waliofariki
haririSikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Jina takatifu la Yesu, lakini pia za watakatifu Papa Antero, Teopempto na Teona, Gordio wa Kaisarea, Danieli wa Padua, Teojene wa Pario, Fiorenso wa Vienne, Genoveva wa Nanterre, Lusiano wa Lentini, Kuriakose Elias Chavara n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |