Jimbo Katoliki la Butare
Jimbo katoliki la Butare (kwa Kilatini "Dioecesis Butarensis") ni mojawapo kati ya majimbo 9 ya Kanisa Katoliki nchini Rwanda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kigali.
Askofu wake ni Philippe Rukamba.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 1,958, ambapo kati ya wakazi 985,000 (2012) Wakatoliki ni 538,000 (54.6%).
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Butare kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |