Jimbo Katoliki la Jibuti
Jimbo Katoliki la Jibuti (kwa Kilatini "Dioecesis Gibutensis") ni jimbo pekee la Kanisa Katoliki nchini Jibuti na linafuata mapokeo ya Kiroma.
Makao makuu yake yako Jibuti.
Askofu wake ni Giorgio Bertin, O.F.M., tangu mwaka 2001.
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 23,200, ambapo kati ya wakazi 884,280 (2017) Wakatoliki ni 5,065 (0.6%) katika parokia 5.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Jibuti kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |