Jimbo Katoliki la Kayanga
Jimbo Katoliki la Kayanga (kwa Kilatini "Dioecesis Kayangana") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Mwanza.
Askofu wake wa kwanza ni Almachius Vincent Rweyongeza.
Historia
haririUongozi
hariri- Askofu Almachius Vincent Rweyongeza (tangu mwanzo).
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 13,004, ambapo kati ya wakazi 438,093 (2008) Wakatoliki ni 280,000 (63.9%).
Mapadri ni 25, hivyo kwa wastani kila mmojawao anahudumia waamini 11,200 katika parokia 11.
Masista ni 45.
Viungo vya nje
hariri- Catholic Hierarchy
- Giga Catholic
- Hati Congregatio pro Gentium, AAS 100 (2008), uk. 597
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kayanga kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |